Chupa
Chupa ni chombo chembamba na kirefu kilichotengenezwa kwa kioo (siku hizi plastiki pia) ambacho hutumiwa kuwekea kimiminika.
Kwa kawaida, chupa za bia hutengenezwa kwa kioo, na vinywaji visivyo na kileo hutengenezwa kwa plastiki.
Makala hii kuhusu mambo ya utamaduni bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Chupa kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |