Chyna[1] (Joan Marie Laurer; (Desemba 27, 1969Aprili 17, 2016) alikuwa mwanamiereka, mjenga mwili na mwenye hadhi ya televisheni.

Aliibuka kwanza kuwa maarufu kwenye Shirikisho la Mieleka duniani (WWF, now WWE) mwaka 1997, ambapo alitunukiwa kuwa mtu wa maajabu wa tisa duniani. (Andre jitu alitunukiwa  mtu wa ajabu wa nane).  Mmoja wa waanzilishi wa Stable D Generation X kama mwanamke wa kwanza kukuza utekelezaji, alishikilia ubingwa wa WWF kimataifa ( Mwanamke pekee mwoneshaji) mara mbili na WWF ubingwa wa wanawake.[2]

MarejeoEdit

  1. Wayback Machine. web.archive.org (2016-03-03). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-03-03. Iliwekwa mnamo 2022-08-10.
  2. Chyna | WWE.com. web.archive.org (2016-05-09). Jalada kutoka ya awali juu ya 2016-05-09. Iliwekwa mnamo 2022-08-10.