27 Desemba
tarehe
(Elekezwa kutoka Desemba 27)
Nov - Desemba - Jan | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 27 Desemba ni siku ya 361 ya mwaka (ya 362 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 4.
Matukio
hariri- 537 - Kanisa kuu la Hagia Sofia limekamilika
- 1945 - Kuundwa kwa IMF (Shirika la Kimataifa la Fedha)
- 1949 - Nchi ya Indonesia inashinda vita na kupata uhuru kutoka Uholanzi
Waliozaliwa
hariri- 1571 - Johannes Kepler, mwanaastronomia kutoka Ujerumani
- 1660 - Mtakatifu Veronika Giuliani, bikira mmonaki wa Wakapuchini nchini Italia
- 1717 - Papa Pius VI
- 1896 - Louis Bromfield, mwandishi kutoka Marekani
- 1901 - Marlene Dietrich, mwigizaji wa filamu na mwimbaji kutoka Ujerumani
- 1943 - Joan Manuel Serrat, mwimbaji kutoka Hispania
- 1952 - Salome Joseph Mbatia, mwanasiasa wa kike kutoka Tanzania
- 1988 - Hayley Williams, mwanamuziki wa Marekani
Waliofariki
hariri- 1938 - Zona Gale, mwandishi wa kike kutoka Marekani
- 1967 - Martin Flavin, mwandishi kutoka Marekani
- 1972 - Lester Pearson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Amani mwaka wa 1957, na Waziri mkuu wa Kanada (1963-1968)
- 1999 - Horst Matthai Quelle, mwanafalsafa kutoka Ujerumani
- 2007 - Benazir Bhutto, waziri mkuu wa Pakistan anauawa
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya mtakatifu Mtume Yohane, lakini pia kumbukumbu ya watakatifu Fabiola wa Roma, Theodori na Theofane n.k.
Viungo vya nje
haririMakala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 27 Desemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |