Claude H. Van Tyne

Maandishi ya kooze Claude Halstead Van Tyne (16 Oktoba 186921 Machi 1930) alikuwa mwanahistoria kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1930, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Historia kwa kitabu chake The War of Independence.

Claude H. Van Tyne
Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Claude H. Van Tyne kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.