21 Machi
tarehe
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 21 Machi ni siku ya 80 ya mwaka (ya 81 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 285. Kimapokeo ni sikusare machipuo (sikusare ya majira ya kuchipua), ingawa katika karne ya 21 imekuwa kweli mara mbili tu: miaka mingine yote imekuwa au itakuwa tarehe 19 Machi au 20 Machi.
Matukio
hariri- 1960 - Mauaji ya Sharpeville: polisi ya Afrika Kusini yaua Waafrika 69 wakiandamana bila silaha
- 1991 - Nchi ya Namibia inapata uhuru kutoka Afrika Kusini
Waliozaliwa
hariri- 1474 - Mtakatifu Angela Merichi, Mfransisko bikira wa Italia
- 1626 - Mtakatifu Petro wa Betancur, mmisionari kutoka Hispania katika Amerika ya Kati
- 1685 - Johann Sebastian Bach, mtunzi wa muziki kutoka Ujerumani
- 1905 - Phyllis McGinley, mshairi kutoka Marekani
- 1966 - DJ Premier, mwanamuziki kutoka Marekani
Waliofariki
hariri- 547 - Mtakatifu Benedikto wa Nursia, abati kutoka Italia
- 1762 - Nicolas-Louis de Lacaille, mwanaastronomia kutoka Ufaransa
- 1815 - Mtakatifu Augustino Zhao Rong, padri mfiadini wa China
- 1930 - Claude H. Van Tyne, mwanahistoria kutoka Marekani
- 2021 John Pombe Joseph Magufuli.
Aliyekuwa Rais wa awamu ya Tano nchini Tanzania.
Sikukuu
hariri- Tarehe hii inasherehekewa kama Nouruz au Mwaka Mpya katika nchi na jamii za kidini zinazofuata kalenda ya Kiajemi. Ni sikukuu katika nchi zifuatazo: Uajemi, Afghanistan, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Tajikistan, Azerbaijan, Turkmenistan na Kashmir. Katika Uajemi na Afghanistan inaanzisha rasmi mwaka mpya.
- Nchi nyingi hutumia kalenda ya Gregori kama kalenda rasmi na huko 21 Machi ni sikukuu ya kiutamaduni.
- Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Serapioni wa Thmuis, Wafiadini wa Ijumaa Kuu wa Aleksandria, Lupisino wa Condat, Enda wa Aran, Yakobo muungamadini, Yohane wa Valence, Nikola wa Flue, Benedikta Cambiagio Frassinello n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day Ilihifadhiwa 1 Machi 2007 kwenye Wayback Machine.
- On This Day in Canada Ilihifadhiwa 28 Agosti 2013 kwenye Wayback Machine.
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 21 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |