Cleveland Abbott
Makala haina vyanzo vya kutosha
Makala (au sehemu ifuatayo ya makala) inatoa habari bila kuonyesha vyanzo au uthibitisho wowote.
|
Cleveland Abbott alizaliwa Disemba 9, 1894 na kufariki Aprili 14, 1955 alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu, kocha na muelimishaji huko nchini Marekani. Alikuwa kocha mkuu wa timu ya mpira wa miguu wa chuo kikuu kinachoitwa Tuskegee University Golden Tigers mnamo mwaka 1923 mpaka 1954.
Marejeo
haririMakala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |