Coca-Cola

Kinywaji kisicho na kilevi

Coca-Cola, au Coke, ni kinywaji kisicho na kilevi kinachotengenezwa na kampuni ya Coca-Cola. Mnamo mwaka 2013, bidhaa za Coke ziliuzwa kwenye zaidi ya nchi 200 duniani kote, na zilikua na watumiaji zaidi ya bilioni 1.8. Coca-Cola ilikua nafasi 87 katika orodha iliyotolewa na gazeti la fortune 500 ya makampuni yenye kipato kikubwa zaidi nchini Marekani.[1]

Kulingana na utafiti wa Interbrand (2020) wa brand bora ya kimataifa, Coca-Cola ilikuwa brand ya sita yenye thamani zaidi duniani.[2]

Jina la kinywaji "Coca cola" limetokana na mchanganyiko wake wa majani ya "Coca" na karanga za "kola" (chanzo cha kafeini)[3]

Marejeo hariri

  1. "Fortune 500 Companies 2018: Who Made the List". Fortune (kwa en-US). Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo November 10, 2018. Iliwekwa mnamo November 10, 2018.  Unknown parameter |url-status= ignored (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help); More than one of |accessdate= na |access-date= specified (help); More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); Check date values in: |archivedate=, |accessdate= (help)
  2. "2020 Best Global Brands - Interbrand". Interbrand. Iliwekwa mnamo July 7, 2021.  Check date values in: |accessdate= (help)
  3. Greenwood, Veronique (2016-09-23). "The little-known nut that gave Coca-Cola its name". www.bbc.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-01-21.