Colima, Colima
Colima ndiyo mji mkuu katiko jimbo la Colima. Ni pia moja kati ya miji mikongwe ya Mexico. Mji upo m 305-550 kutoka juu ya usawa wa bahari. Colima ni mji upande wa mashariki ya jimbo.
Jiji la Colima | |
Nchi | Mexiko |
---|---|
Jimbo | Colima |
Idadi ya wakazi | |
- Wakazi kwa ujumla | 132,273 |
Tovuti: www.colima.gob.mx |
Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2005, mji una wakazi wapatao 132,273 wanaoishi katika mji huu. Uneo lake ni 1,983.3 km².
Jina la mji lilitolewa kwa heshima ya Mfalme Colimá (kwa Kinahuatl: Colimotl).
Mji ulianzishwa mwaka 1523-1527.
Makala hii kuhusu maeneo ya Mexiko bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Colima, Colima kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |