Concorde
Wikimedia ukurasa wa kutoelewana
Concorde ni wimbo wa taifa wa Gabon. Uliandikwa na kutungwa na mwanasiasa Georges Aleka Damas, ulipitishwa baada ya uhuru mnamo mwaka 1960.[1]
Historia
haririKatika hotuba yake huko Port-Gentil tarehe 15 Machi 1962, Rais Leon Mba alisema nia yake ya kutaka wimbo wa taifa utafasiriwe katika lugha mbalimbali za Gabon "ili katika kijiji cha mbali zaidi nchini kila mtu aweze kuelewa maana yake".[2]
Marejeo
hariri- ↑ "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2021-11-20. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
- ↑ https://books.google.com/books?id=OAwoMK-DB-kC&q=%22various+Gabonese+dialects%22