1962
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1930 |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960
| Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| ►
◄◄ |
◄ |
1958 |
1959 |
1960 |
1961 |
1962
| 1963
| 1964
| 1965
| 1966
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1962 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 20 Februari - John Glenn anazunguka dunia katika chombo cha angani akiwa Mmarekani wa kwanza kufanya hivyo.
- 19 Juni - Paula Abdul, mwanamuziki kutoka Marekani
- 1 Julai - Nchi za Burundi na Rwanda zinapata uhuru kutoka Ubelgiji.
- 5 Julai - Nchi ya Algeria inapata uhuru kutoka Ufaransa.
- 6 Agosti - Nchi ya Jamaika inapata uhuru kutoka Uingereza.
- 9 Oktoba - Nchi ya Uganda inapata uhuru kutoka Uingereza.
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2025 MMXXV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5785 – 5786 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2778 |
Kalenda ya Ethiopia | 2017 – 2018 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1474 ԹՎ ՌՆՀԴ |
Kalenda ya Kiislamu | 1447 – 1448 |
Kalenda ya Kiajemi | 1403 – 1404 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2080 – 2081 |
- Shaka Samvat | 1947 – 1948 |
- Kali Yuga | 5126 – 5127 |
Kalenda ya Kichina | 4721 – 4722 甲辰 – 乙巳 |
- 1 Januari - Richard Roxburgh, mwigizaji filamu kutoka Australia
- 4 Januari - Binilith Satano Mahenge, mwanasiasa wa Tanzania
- 17 Januari - Jim Carrey, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 23 Januari - Elvira Lindo, mwandishi na mshairi kutoka Hispania
- 7 Februari - Eddie Izzard, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 12 Februari - Ali LeRoi, mwigizaji filamu kutoka Marekani
- 20 Aprili - Cosmas Masolwa Masolwa, mbunge wa Tanzania
- 27 Aprili - Edvard Moser, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2014
- 12 Juni - Paul Schulze, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 16 Juni - Femi Kuti, mwanamuziki kutoka Nigeria
- 20 Julai - Carlos Alazraqui, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 4 Septemba - Shinya Yamanaka, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 2012
- 7 Septemba - Jennifer Egan, mwandishi kutoka Marekani
- 2 Oktoba - Jeff Bennett, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 4 Oktoba - Ruth Blasio Msafiri, mwanasiasa wa Tanzania
- 19 Novemba - Jodie Foster, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 18 Desemba - James Sie, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 23 Desemba - Stefan Hell, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 2014
Waliofariki
hariri- 15 Machi - Arthur Holly Compton, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1927
- 22 Juni - Shaaban Robert, mshairi maarufu wa Tanzania
- 6 Julai - William Faulkner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1949
- 5 Agosti - Marilyn Monroe, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 9 Agosti - Hermann Hesse, mwandishi wa Ujerumani na mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1946
- 3 Septemba - Edward Cummings, mwandishi kutoka Marekani
- 18 Novemba - Niels Bohr, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia, mwaka wa 1922
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: