Conservation headland
Conservation headland[1] ni eneo kando na sehemu ya kilimo, ambapo dawa za kuua wadudu hupuliziwa tu kwa mpangalio uliochaguliwa. Hii huongeza idadi na aina ya magugu na jamii ya wadudu waliopo, ilikunufaisha aina ya ndege inayowategemea wadudu hao.
Conservation headlands zilitambulishwa miaka ya 1980 na mwanasayansi aliyekuwa anafanya kazi kwenye Game & Wildlife Conservation Trust nchini Uingereza. Majaribio yalifanyika nchini Uswidi.
Marejeo
hariri- ↑ "Conservation Headlands | Advice For Farmers". The RSPB (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |