Copa Libertadores
Kombe Libertadores au Copa Libertadores ni mashindano ya mpira wa miguu yaliyoanzishwa na CONMEBOL tangu mwaka 1960. Ni mojawapo ya kifahari zaidi ulimwenguni na kuu huko Amerika ya Kusini. Kombe la mabingwa wa mataifa ya America ya kusini ni sawa na Ligi la Mabingwa Ulaya ama Ligi ya Mabingwa Afrika.[1]
Hapo awali, ni mabingwa wa Amerika Kusini pekee walioshiriki. Mnamo 1966 walijiunga na washindi wao wa pili. Mnamo 1998, timu kutoka Mexiko pia zilialikwa, na mnamo 2000 mashindano hayo yaliongezwa kutoka timu 20 hadi 32. Leo, angalau timu 3 kutoka kila nchi zinashiriki katika Copa Libertadores, na angalau 6 kutoka Brazil na Argentina.
Fainali
haririTanbihi
hariri- ↑ "River Plate mabingwa wa Copa Libertadores", DW (Kiswahili), 10 Desemba 2018. (sw)
Viungo vya nje
hariri- Tovuti rasmi (Kiingereza)(Kihispania)(Kireno)
Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu. Je, unajua kitu zaidi kuhusu Copa Libertadores kama historia yake, uenezi au kanuni zake? Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |