Cosmas Desmond

Cosmas Desmond (19 Novemba 1935 - 31 Machi 2012) alikuwa mtawa Mfransisko, mwanaharakati na mwandishi wa Afrika Kusini aliyetokea Uingereza.

Kwa vile aliandika dhidi ya ubaguzi wa rangi kuchapisha na kusoma vitabu vyake nchini Afrika Kusini kulipigwa marufuku.

Baada ya mabadiliko ya kisiasa mwaka wa 1990 Desmond akawa mwandishi mashuhuri tena[1]. Akakaa Afrika Kusini hadi kufariki kwake.

Angalia piaEdit

TanbihiEdit

  1. Maandiko ya Afrika ya Kusini Classic na ya kisasa.
  2. Kitabu cha Afrika Kusini na Kisasa,Chanzo cha Wikipedia

MarejeoEdit

  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1

Viungo vya njeEdit

  Makala hii kuhusu Mkristo huyu bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cosmas Desmond kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.