19 Novemba
tarehe
Okt - Novemba - Des | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | |||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 19 Novemba ni siku ya 323 ya mwaka (ya 324 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 42.
MatukioEdit
WaliozaliwaEdit
- 1464 - Go-Kashiwabara, mfalme mkuu wa Japani (1500-1526)
- 1831 - James A. Garfield, Rais wa Marekani (1881)
- 1887 - James Sumner, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1946
- 1912 - George Palade, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1974
- 1915 - Earl Sutherland, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1971
- 1935 - Cosmas Desmond, mwandishi wa Afrika Kusini
- 1936 - Yuan Lee, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1986
- 1942 - Sharon Olds, mshairi kutoka Marekani
- 1962 - Jodie Foster, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
WaliofarikiEdit
- 496 - Mtakatifu Papa Gelasio I
- 1478 - Baeda Maryam I, Mfalme Mkuu wa Uhabeshi
- 1828 - Franz Schubert, mtunzi wa opera kutoka Austria
- 1850 - Richard M. Johnson, Kaimu Rais wa Marekani (1837-1841)
- 2004 - John Vane, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1982
SikukuuEdit
Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu nabii Obadia, Masimo wa Kaisarea, Severini, Esuperi na Felisiani, Barlaam wa Antiokia, Wanawake wafiadini wa Marmara, Eudoni abati n.k.
Viungo vya njeEdit
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 19 Novemba kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |