"Crazy Desire" ni filamu iliyotoka 2013 nchini Tanzania. Filamu inachezwa na Jacqueline Wolper, Abdul Ahmed, Charles Magali, Shani Aliphani na Alice Bagenzi. Filamu imeongozwa na Frank Lutego ambaye pia amesimama kama mtayarishwa wa filamu hii. Filamu inamwelezia Patricia msichana mwenye uwezo mkubwa wa kifedha, ambaye anatumia pesa zake kama fimbo ya kununulia wanaume kimapenzi. Filamu inaonesha jinsi kwamba mapenzi hayahitaji pesa bali upendo wa dhati.[1]

Crazy Desire

Posta ya Crazy Desire
Imeongozwa na Frank G. Lutego
Imetayarishwa na F. Njue
Imetungwa na Frank Lutego
Nyota Jaqueline Wolper
Abdul Ahmed
Charles Magari
Shani Aliphani
Alice Bagenzi
Sinematografi Peter Mutiso
Imetolewa tar. 2013
Nchi Tanzania
Lugha Kiswahili

Marejeo

hariri
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Crazy Desire kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.