Cyprian Thobias Kachwele (amezaliwa 15 Februari 2005) ni mchezaji wa kimataifa kutoka nchini Tanzania anayezichezea klabu ya Whitecaps FC 2 inayoshiriki ligi ya MLS Next Pro na Timu ya Taifa ya Tanzania.

Maisha ya Awali

hariri

Kachwele alichezea klabu ya Azam F.C..[1] mwaka 2022, alisaidia timu ya Azam ya chini ya miaka 17 kushinda taji la ligi, na alifanikiwa kumaliza ligi akiwa mfungaji bora wa msimu,[2] alishinda pia Kiatu cha dhahabu akiwa mfungaji bora kwenye katika mashindano ya Cambiaso Rainnbow cup kwa wachezaji wa umri chini ya miaka 20, Azam walimaliza nafasi ya pili nyuma ya KCCA FC ya nchini Uganda.[3]

Tanbihi

hariri
  1. Mlanzi, Zahoro (16 Novemba 2023). "Azam FC ipo tayari kuumana na Gor Mahia Jumapili" [Azam FC is ready to face Gor Mahia on Sunday]. Pulse Sports (kwa Swahili).{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  2. "Azam FC wametisha watwaa ubingwa na bado wana mechi" [Azam FC threatened to win the championship and they still have a match] (kwa Swahili). Saleh Jembe. 17 Julai 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link) CS1 maint: unrecognized language (link)
  3. "KCCA FC defeat Azam to win the Cambiaso U20 tournament". Sports Bee. 1 Agosti 2022.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Cyprian Kachwele kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.