Taifa Stars

Timu ya Taifa ya Soka

Timu ya taifa ya Tanzania chini ya chama cha soka cha Tanzania TFF (Tanzania Football Federation) inaiwakilisha Tanzania katika soka ya kimataifa.

Tanzania
Shirt badge/Association crest
Nickname(s)Taifa Stars
ShirikaTanzania Football Federation
ShirikishoCAF (Africa)
Kocha mkuuHemed Morocco
KapteniMbwana Samatta
Most capsErasto Nyoni (107)
Top scorerMrisho Ngassa (25)
Home stadiumUwanja wa Benjamin Mkapa
msimbo ya FIFATAN
cheo ya FIFAKigezo:FIFA World Rankings
Highest FIFA ranking65 (Februari 1995)
Lowest FIFA ranking175 (October–November 2005)
Elo rankingKigezo:World Football Elo Ratings
Highest Elo ranking75 (11 Novemba 1979)
Lowest Elo ranking168 (19 Disemba 2004)
Home colours
Away colours
Third colours
First international
 Uganda 7–0 Tanganyika Tanganyika (nchi)
(Uganda; 1945)
Biggest win
 Tanzania 7–0 Somalia 
(Jinja, Uganda; December 1, 1995)
 Tanzania 7–0 Somalia 
(Kampala, Uganda; December 1, 2012)
Biggest defeat
Kigezo:Flagu 0–9 Kenya 
(Tanganyika; 1956)
Africa Cup of Nations
Appearances2 (First in 1980)
Best resultGroup stage (1980 2019 and 2023 Africa Cup of Nations

Uwanja wa taifa wa Tanzania unafahamika kwa jina la Benjamin Mkapa National Stadium uliopo jijini Dar-es-Salaam na Kocha mkuu kwa sasa ni Adel Amrouche, mwenye asili ya Algeria.

Katika historia, Tanzania haijawahi kufuzu fainali za kombe la dunia. Kabla ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, timu hiyo ilifahamika kama Timu ya taifa ya Tanganyika.

Kwa upande wa Zanzibar, inajulikana kama mwanachama wa kujitegemea wa CAF lakini haiwezi kushiriki katika mashindano ya Afrika (Africa Cup of Nations) wala mashindano ya kombe la dunia chini ya FIFA.

Historia

Mnamo Machi 24 2019, Tanzania ilifanikiwa kuwashinda Uganda ambao ndio wapinzani wao wakuu kutokea Afrika mashariki kwa jumla ya magoli 3-0, ushindi huo uliwapeleka katika fainali za AFCON (2019 Africa Cup of Nations) hii ikiwa ni kwara ya kwanza ndani ya miaka 39, hatua hiyo ilipelekea raisi wa Tanzania mhe. John Magufuli kuizawadia timu nzima viwanja kama hatua ya kuwatia morali Zaidi, fainali hizi zilifanyika nchini Misri. Kwa sasa Tanzania imeamua kuwekeza katika timu ya taifa ili kusonga mbele Zaidi na Zaidi, katika hatua ya kufuzu fainali za AFCO, Tanzania ilifanikiwa kuifunga Burkina Faso mara mbili, katika mechi ya kirafiki dhidi ya timu ya taifa ya Cameroon, Tanzania ilishinda 1–0. Ushindi wao wa siku za karibuni ni dhidi ya timu ya taifa ya Afrika kusini kweny mashindano ya COSAFA ya 2017 katika hatua ya robo fainali lakini hawakuvuka hatua inayofuata babada ya kupoteza dhidi ya timu ya taifa ya Zambia kwa jumla ya magoli 2−4. Katika mtanange wa kutafuta mshindi wa tatu, Tanzania ilishinda mchezo huo kwa mikwaju ya penati 4-2 dhidi ya timu ya taifa ya Lesotho. Ushindi huo unakua ndio ushindi mkubwa Zaidi wa timu ya taifa ya Tanzania katika historia yake.

Benchi La Ufundi

Kocha Mkuu   Hemed Morocco
Kocha Msaidizi   Juma Mgunda
Kocha Msaidizi   Dr. Carolin Braun
Kocha wa Golikipa Kigezo:Country data KSA Osama Al-Hamdan
Kocha wa kujenga mwili   Mikael Mayoyo
Mtaalamu wa michezo   Joris De Vos
Mganga mkuu   Lisobine Kisongo
Meneja wa timu   Reinhard

Mataji

CECAFA Cup :

Rekodi ya Ushindani

Rekodi ya kombe la dunia

FIFA World Cup record FIFA World Cup Qualification record
Mwaka Hatua Nafasi Pld W D* L GF GA Pld W D L GF GA
  1930 to   1970 Haikushiriki Haikushiriki
  1974 Haikufuzu 3 0 2 1 1 4
  1978 Ilijitoa Ilijitoa
  1982 Haikufuzu 4 1 1 2 7 6
  1986 2 0 2 0 1 1
  1990 Haikushiriki Haikushiriki
  1994 Ilijitoa hatua ya kufuzu Ilijitoa hatua ya kufuzu
  1998 Haikufuzu 2 0 1 1 1 2
    2002 2 0 0 2 2 4
  2006 2 0 1 1 0 3
  2010 6 2 2 2 9 6
  2014 8 3 0 5 10 14
  2018 4 1 1 2 4 10
  2022 ya kuamuliwa ya kuamuliwa
      2026 ya kuamuliwa ya kuamuliwa
Jumla 0/21 33 7 10 16 35 50

Rekodi ya AFCON

Africa Cup of Nations
Appearances: 2
Mwaka Hatua Nafasi Pld W D L GF GA
  1957 Haina ushirika wa CAF
  1959
  1962
  1963
  1965
  1968 ilijitoa hatua ya kufuzu
  1970 Haikuifuzu
  1972
  1974
  1976
  1978
  1980 Hatua ya makundi 7th 3 0 1 2 3 6
  1982 Ilijitoa
  1984 Haikufuzu
  1986 ilijitoa hatua ya kufuzu
  1988 haikufuzu
  1990
  1992
  1994 ilijitoa hatua ya kufuzu
  1996 haikufuzu
  1998
    2000
  2002
  2004 ilijitoa hatua ya kufuzu
  2006 haikufuzu
  2008
  2010
    2012
  2013
  2015
  2017
  2019 Hatua ya makundi 24th 3 0 0 3 2 8
  2021 ya kuamuliwa
  2023
  2025
Jumla Hatua ya makundi 2/32 6 0 1 5 5 14

Rekodi ya mataifa ya Afrika

African Nations Championship
Kushiriki: 1
Mwaka Hatua Nafasi Pld W D* L GF GA
  2009 Group stage 5th 3 1 1 1 2 2
  2011 Did not qualify
  2014
  2016
  2018
  2020 ’’ya kuamuliwa’'
  2022
Jumla Hatua ya makundi 1/5 3 1 1 1 2 2

Michezo ya Afrika

Mpira wa miguu wa mashindano ya African Games imekua ikichezwa na walio na umri chini ya miaka 23 tangu mwaka 1991.
African Games Rekodi
Mwaka Matokeo GP W D L GS GA
  1965 - 0 0 0 0 0 0
  1973 - 0 0 0 0 0 0
  1978 - 0 0 0 0 0 0
  1987 - 0 0 0 0 0 0
1991–mpaka sasa See Tanzania national under-23 football team
Jumla 4/4 0 0 0 0 0 0

Matokeo ya hivi karibuni na ratiba

      Ushindi       Suluhu       Kupoteza

2018

Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible

2019

Kigezo:Footballbox collapsible Kigezo:Footballbox collapsible {{footballbox collapsible |round = [[Kirafiki] |date = 16 Juni 2019 |time = 20:00 CAT |team1 = Tanzania   |score = 1–1 |report = https://int.soccerway.com/matches/2019/06/16/world/friendlies/tanzania/zimbabwe/3028720/ |team2 =   Zimbabwe |goals1 = |goals2 = |stadium = El Sekka El Hadid Stadium |location = Cairo, Misri |attendance = |referee = |result = D }} Kigezo:Football box collapsible Kigezo:Football box collapsible Kigezo:Footballbox collapsible

Wachezaji

Kikosi cha sasa

Wachezaji 27 walichakuliwa kuiwakilisha Tanzania katika mchezo wa kufuzu mashindano ya AFCON dhidi ya Ethiopia na Guinea tarehe 4 na 10 Septemba 2024.[1]

Michezo na magoli yamewekwa mpaka tarehe 10 Septemba 2024 baada ya mchezo dhidi ya Guinea.

0#0 Pos. Player Date of Birth (Age) Caps Goals Club
GK Ally Salim 19 Aprili 2000 (2000-04-19) (umri 24) 5 0   Simba
GK Abuutwalib Msheri 22 Februari 1999 (1999-02-22) (umri 25) 3 0   Young Africans
GK Yona Geoffrey Amosi 28 Novemba 1998 (1998-11-28) (umri 26) 1 0   Tanzania Prisons

Kigezo:Nat fs break

DF Mohamed Husseini 1 Novemba 1996 (1996-11-01) (umri 28) 46 0   Simba
DF Bakari Mwamnyeto 5 Oktoba 1995 (1995-10-05) (umri 29) 44 0   Young Africans
DF Dickson Job 29 Desemba 2000 (2000-12-29) (umri 23) 25 1   Young Africans
DF Ibrahim Hamad 12 Novemba 1997 (1997-11-12) (umri 27) 18 1   Young Africans
DF Nickson Kibabage 12 Oktoba 2000 (2000-10-12) (umri 24) 15 0   Young Africans
DF Lusajo Mwaikenda 27 Oktoba 2000 (2000-10-27) (umri 24) 12 0   Azam
DF Pascal Msindo 15 Agosti 2003 (2003-08-15) (umri 21) 2 0   Azam
DF Abdulmalik Zakaria 3 Machi 1996 (1996-03-03) (umri 28) 2 0   Namungo
DF Nathaniel Chilambo 10 Novemba 1999 (1999-11-10) (umri 25) 0 0   Azam

Kigezo:Nat fs break

MF Himid Mao 15 Novemba 1992 (1992-11-15) (umri 32) 79 2   Ghazl El Mahalla
MF Feisal Salum 11 Januari 1998 (1998-01-11) (umri 26) 41 3   Azam
MF Mudathir Yahya 6 Mei 1995 (1995-05-06) (umri 29) 34 1   Young Africans
MF Novatus Miroshi 2 Septemba 2002 (2002-09-02) (umri 22) 24 3   Göztepe
MF Adolf Bitegeko 26 Desemba 1998 (1998-12-26) (umri 25) 2 0   Azam
MF Abel Josiah 4 Novemba 2010 (2010-11-04) (umri 14) 1 0   TDS TFF Academy
MF Hussein Semfuko 17 Mei 2004 (2004-05-17) (umri 20) 0 0   Coastal Union

Kigezo:Nat fs break

FW Edwin Balua 8 Agosti 2001 (2001-08-08) (umri 23) 5 0   Simba
FW Clement Mzize 7 Januari 2004 (2004-01-07) (umri 20) 5 0   Young Africans
FW Waziri Shentembo 11 Agosti 1996 (1996-08-11) (umri 28) 4 1   KMC
FW Cyprian Kachwele 15 Februari 2005 (2005-02-15) (umri 19) 1 0   Whitecaps

Makocha

Marejeo

  1. "Final Squad". Instagram. Tanzania Football Federation.
  2. http://brotherdanny5b.blogspot.com/2013/10/taifa-stars-ilivyofuzu-kwenda-lagos-1980.html
  3. "International Matches 1987 - Africa". RSSSF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Desemba 2022. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "International Matches 1992 - Africa". RSSSF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 28 Novemba 2022. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. http://www.rsssf.com/intldetails/1993af.html
  6. "International Matches 1998 - Africa". RSSSF. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 7 Desemba 2022. Iliwekwa mnamo 2 Februari 2023.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  7. Emmanuel Amunike
  8. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-03. Iliwekwa mnamo 2019-09-12.

Viungo vya nje