D.L.M Records
D.L.M Records ni studio ya kurekodia muziki nchini Kenya.
D.L.M Records | |
---|---|
Shina la studio | Dapstrem Entertainment |
Imeanzishwa | 2012 |
Mwanzilishi | Don Leone |
Usambazaji wa studio | Dapstrem (Kenya) |
Aina za muziki | Contemporary R&B Southern Hip Hop Gangsta rap Dancehall |
Nchi | Kenya |
Tovuti | http://www.dlmrecords.com/ |