Dada ni jina ambalo linatumika tu kwa ndugu wa jinsia ya kike tu.
Jina hilo laweza kutumika kuanzia kwa mtoto mwenye umri mdogo hadi mkubwa, bali hutumika pia kuonyesha heshima kwa mwanamke mkubwa.
Makala bado ni mbegu. Unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuongezea habari. |