Daisy Nakalyango

Mchezaji wa Badminton

Daisy Nakalyango (alizaliwa 15 Machi 1994) ni mchezaji wa kike wa badminton kutoka Uganda . [1]

Daisy Nakalgayo
Nchi Uganda
Kazi yake Mchezaji

Alishiriki katika Michezo ya Jumuiya ya Madola ya miaka 2010 na 2014 [2].

Marejeo

hariri
  1. "Players: Daisy Nakalyango". bwfbadminton.com. Badminton World Federation. Iliwekwa mnamo 8 Desemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Daisy Nakalyango Biography". g2014results.thecgf.com. Glasgow 2014. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-03-08. Iliwekwa mnamo 8 Desemba 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)