Dakika
Dakika ni kipimo cha wakati. Si kipimo cha SI kamili kama ilivyo sekundi. Dakika ni sehemu ya 60 ya saa moja. Dakika yenyewe hugawiwa kwa sekundi 60.
Makala hii kuhusu mambo ya sayansi bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dakika kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |