Damas Pascal Nakei

(Elekezwa kutoka Damas Pascal)

Damas Pascal Nakei (amezaliwa tar. 19 Februari 1959) ni mbunge wa jimbo la Babati Magharibi katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu Damas Pascal Nakei". 17 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.