Damous

wilaya na mji katika Mkoa wa Tipaza, Algeria

Damous ni mji unaopatikana Wilaya ya Tipaza kaskazini mwa Algeria.[1][2]

Eneo la manispaa ya Damous lipo kaskazini-magharibi mwa wilaya ya Tipaza, umbali wa takribani km 70 magharibi mwa Tipaza, km 50 magharibi mwa Cherchell, na km 55 mashariki mwa Ténès. Wakati wa kuanzishwa kwake mwaka 1984, manispaa ya Damous ilikuwa na sehemu saba za makazi:

  • Béni Hatita
  • Béni Zioui
  • Damous
  • Oued Harbil
  • Roff
  • Reggou
  • Remamène

Marejeo

hariri
  1. Dalila Ouitis, Concis de la toponymie et des noms de lieux de l'Algérie, Ed. Djoussour, Alger 2009
  2. Achour Cheurfi, Dictionnaire des localités algériennes, Casbah Éditions, Alger 2011
  Makala hii kuhusu maeneo ya Algeria bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Damous kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.