Dan Gross (mwanaharakati)

Dan Gross ndiye Rais wa zamani wa Kampeni ya Brady ya Kuzuia fujo za Bunduki. Aliteuliwa katika wadhifa huu mnamo 28/2/2012, baada ya kuunganishwa kwa Kampeni ya Brady na Kituo cha Kuzuia Vurugu kwa Vijana[1][2]. Nafasi hii iliisha mnamo 2017.

Marejeo hariri

  1. "Brady gun-control organization gets new president". USATODAY.COM. Iliwekwa mnamo 2022-08-01. 
  2. "Brady gun-control group elects president". UPI (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-08-01.