Dan Kwasi Abodakpi
Dan Kwasi Abodakpi (alizaliwa 27 Februari 1950) ni mwanasiasa wa Ghana na mwanachama wa Bunge la Nne la Jamhuri ya Nne ya Ghana anayewakilisha eneo bunge la Keta Mkoa wa Volta . [1]
Alikuwa Waziri wa zamani wa Biashara na Viwanda. [2]
Maisha ya mapema na elimu
haririAbodakpi alizaliwa katika Keta katika mkoa wa Volta Ghana tarehe 27 Februari 1950. Alihudhuria Chuo Kikuu cha Pennsylvania na kupata Shahada ya UDaktari wa Falsafa..[1]
Pia alihudhuria Chuo Kikuu cha Ghana na kupata Shahada yake ya Sayansi . [1]
Kazi
haririAbodakpi kitaaluma ni mhandisi wa kemikali na alikuwa mbunge wa Bunge la Nne la Jamhuri ya Nne ya Ghana kwa Jimbo la Keta kuanzia 1997 hadi 2009. [1]
Maisha binafsi
haririAbodakpi ni Mkristo. [3]
Marejeo
hariri- ↑ 1.0 1.1 1.2 1.3 Ghana Parliamentary Register(2004–2008)
- ↑ "Abodakpi Jailed For 10 years". www.ghanaweb.com (kwa Kiingereza). 5 Februari 2007. Iliwekwa mnamo 4 Agosti 2020.
{{cite web}}
: CS1 maint: date auto-translated (link) - ↑ FM, Peace. "Ghana Election 2000 Results - Volta Region". Ghana Elections - Peace FM. Iliwekwa mnamo 2020-09-01.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dan Kwasi Abodakpi kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |