Mkoa wa Volta ni mmojawapo kati ya mikoa 16 ya Jamhuri ya Ghana.

Eneo lake ni la kilomita za mraba 9,504.

Makao makuu ni Ho, Ghana.

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Mkoa wa Volta kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.