Dan Shechtman (amezaliwa 24 Januari 1941) ni mwanakemia kutoka nchi ya Israel. Hasa amechunguza mifumo ya fuwele. Mwaka wa 2011 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.

Dan Shechtman (2011).
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dan Shechtman kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.