Dana Powell (amezaliwa Springfield, Missouri, Marekani, 1974) ni mwigizaji wa vichekesho wa Marekani anayejulikana zaidi kwa kucheza Pam Tucker, dada wa Cam, kwenye Modern Family (2013-2019).[1][2]

Dana Powell

Amezaliwa 1974
Springfield, Missouri

Marejeo

hariri

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dana Powell kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.