1974
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 19 |
Karne ya 20
| Karne ya 21
◄ |
Miaka ya 1940 |
Miaka ya 1950 |
Miaka ya 1960 |
Miaka ya 1970
| Miaka ya 1980
| Miaka ya 1990
| Miaka ya 2000
| ►
◄◄ |
◄ |
1970 |
1971 |
1972 |
1973 |
1974
| 1975
| 1976
| 1977
| 1978
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1974 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 10 Septemba - Nchi ya Guinea Bisau inapata uhuru rasmi kutoka Ureno.
- 12 Septemba - Kaisari Haile Selassie wa Ethiopia anapinduliwa na wanajeshi wa DERG.
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 5 Februari - Omarosa Manigault, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 16 Februari - Johnny Tri Nguyen, mwigizaji filamu wa Kimarekani kutoka Vietnam Kusini
- 28 Februari - David Hellenius, mwigizaji wa filamu kutoka Uswidi
- 12 Machi - Scarlet Ortiz, mwigizaji filamu kutoka Venezuela
- 4 Julai - Mick Wingert, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 22 Julai - Franka Potente, mwigizaji filamu kutoka Ujerumani
- 24 Julai - Eugene Mirman, mwigizaji wa filamu kutoka Marekani
- 15 Agosti - Natasha Henstridge, mwigizaji filamu kutoka Kanada
- 18 Septemba - Xzibit, mwanamuziki wa Marekani
- 12 Novemba - Ralf Krewinkel, mwanasiasa kutoka Uholanzi
- 30 Desemba - Khalilou Fadiga, mchezaji mpira kutoka Senegal
bila tarehe
Waliofariki
hariri- 9 Machi - Earl Sutherland, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1971
- 18 Aprili - Marcel Pagnol, mwandishi kutoka Ufaransa
- 24 Mei - Duke Ellington, mwanamuziki wa Jazz kutoka Marekani
- 9 Juni - Miguel Asturias, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi, mwaka wa 1967
- 18 Juni - George Kelly, mwandishi kutoka Marekani
- 11 Julai - Par Lagerkvist, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi mwaka wa 1951
- 13 Julai - Patrick Blackett, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1948
- 23 Julai - James Chadwick, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1935
- 4 Oktoba - Anne Sexton, mshairi kutoka Marekani
Viungo vya nje
haririWikimedia Commons ina media kuhusu: