Dandora Area IV
Dandora Area IV ni kata ya Nairobi, mji mkuu wa Kenya, katika mtaa fukara wa Dandora, eneo bunge la Embakasi Kaskazini.
Tanbihi
haririMakala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Dandora Area IV kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |