Daniel Wroughton Craig (amezaliwa Chester, Uingereza, 2 Machi 1968) ni mwigizaji filamu anayefahamika zaidi kwa kuigiza kama 'James Bond' katika filamu tatu alizocheza kuanzia mwaka 2005 hadi leo, ambazo ni Casino Royale, Quantum of Solace na Skyfall.

Daniel Craig

Daniel Craig, mnamo 2021.
Amezaliwa 2 Machi 1968 (1968-03-02) (umri 56)
Uingereza
Kazi yake Mwigizaji
Miaka ya kazi 1992 -
Ndoa Fiona Loudon (1992-1994),
Rachel Weisz (2011-hadi leo)
Watoto 2

Filamu

hariri
Mwaka Filamu Kama Maelezo
1992 Power of One Sgt. Botha, a.k.a. The Judge
1993 Between the Lines Undercover Detective
1993 Heartbeat Peter Begg
1993 Zorro Lt. Hidalgo Vipindi 2
1993 Sharpe's Eagle Lt. Berry
1995 Kid in King Arthur's Court Master Kane
1996 Kiss And Tell Matt Kearney Filamu
1996 Fortunes and Misfortunes of Moll Flanders James "Jemmy" Seagrave Tamthilia
1996 Our Friends in the North George "Geordie" Peacock Vipindi 8
1997 Obsession John McHale
1997 The Ice House D.S. Andy McLoughlin
1997 The Hunger
1998 Love Is the Devil: Study for a Portrait of Francis Bacon George Dyer Edinburgh International Film Festival Award for Best British Performance
1998 Love and Rage James Lynchehaun
1998 Elizabeth John Ballard
1999 The Trench Sgt. Telford Winter
1999 The Adventures of Young Indiana Jones: Daredevils of the Desert Schiller 1993
2000 Some Voices Ray Alishinda tuzo la British Independent Film Award for Best Actor
2000 Hotel Splendide Ronald Blanche
2000 I Dreamed of Africa Declan Fielding
2001 Lara Croft: Tomb Raider Alex West
2001 Sword of Honour Guy Crouchback
2002 Copenhagen Werner Heisenberg Tamthilia
2002 Ten Minutes Older: The Cello Cecil
2002 Road to Perdition Connor Rooney
2003 Sylvia Ted Hughes
2003 The Mother Darren
2004 Layer Cake Mr. X
2004 Enduring Love Joe Alishinda tuzo la London Film Critics Circle Award for British Actor of the Year
2005 Munich Steve
2005 Archangel Christopher Kelso
2005 Fateless American Soldier
2005 The Jacket Rudy Mackenzie
2006 Casino Royale James Bond Sant Jordi Award for Best Foreign Actor
2006 Renaissance Barthélémy Karas Sauti
2006 Infamous Perry Smith
2007 The Golden Compass Lord Asriel
2007 The Invasion Ben Driscoll
2008 Flashbacks of a Fool Joe Scot
2008 Quantum of Solace James Bond
2008 Defiance Tuvia Bielski
2011 Cowboys & Aliens Jake Lonergan
2011 Dream House Will Attenton
2011 The Adventures of Tintin Ivan Ivanovitch Sakharine/Red Rackham
2011 The Girl with the Dragon Tattoo Mikael Blomkvist
2012 Skyfall James Bond
2013 One Life Narrator
2015 Spectre James Bond
2015 Star Wars: The Force Awakens Stormtrooper cameo
2017 Logan Lucky Joe Bang
2017 Kings Obie
2019 Knives Out Detective Benoit Blanc
2021 No Time To Die James Bond
2022 Glass Onion: A Knives Out Mystery Detective Benoit Blanc
2025 Wake Up Dead Man
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani wa Marekani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniel Craig kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.