2 Machi
tarehe
Feb - Machi - Apr | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 2 Machi ni siku ya 61 ya mwaka (ya 62 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 304.
Matukio
hariri- 1939 - Uchaguzi wa Papa Pius XII
Waliozaliwa
hariri- 283 - Mtakatifu Eusebius wa Vercelli, askofu Mkatoliki nchini Italia
- 1459 - Papa Adrian VI
- 1810 - Papa Leo XIII
- 1876 - Papa Pius XII
- 1904 - Theodor Seuss Geisel (anajulikana hasa kama Dr. Seuss), mwandishi Mmarekani kwa watoto
- 1937 - Abdelaziz Bouteflika, Rais wa Algeria
- 1943 - Jeremiah Solomon Sumari, mwanasiasa kutoka Tanzania
- 1950 - Karen Carpenter
- 1962 - Jon Bon Jovi
- 1988 - Vito Mannone, mchezaji mpira kutoka Italia
- 1998 - Tua Tagovailoa
Waliofariki
hariri- 1282 - Mtakatifu Agnes wa Praha, bikira Mfransisko nchini Ucheki
- 1835 - Kaisari Francis II wa Ujerumani
- 1932 - Mtakatifu Anjela wa Msalaba, bikira kutoka Hispania
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Troadi, Chad wa Mercia, Luka wa Nicosia, Agnes wa Praha, Anjela wa Msalaba n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On This Day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 2 Machi kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |