Daniel K Daniel
Muigizaji wa kiume wa Nigeria
Daniel Kanayo Daniel (alizaliwa 22 Mei 1986 ) ni muigizaji wa filamu na maigizo wa kwenye runinga wa Nigeria, na mtia sauti katika filamu,akijulikana zaidi katika filamu yaBossman [1][2] filamu ya mwaka 2015 ilishinda tuzo ya Africa Magic Viewers' Choice Awards mwaka 2016 (AMVCA) na tuzo ya Africa Movie Academy Awards (AMAA) kama muigizaji bora wa kiume ,[3][4]
Daniel K Daniel | |
---|---|
Daniel K. Daniel mnamo mwaka 2018 | |
Amezaliwa | 22 Mei 1986 Maiduguri, Nigeria |
Jina lingine | DKD |
Kazi yake | Muigizaji |
Miaka ya kazi | 2009-hadi sasa |
[danielkdaniel.com Tovuti rasmi] |
Marejeo
hariri- ↑ "Daniel K Daniel, Tope Tedela, Linda Ejiofor star in upcoming film". Pulse Nigeria (kwa American English). 2015-06-01. Iliwekwa mnamo 2020-08-27.
- ↑ "A Soldier's Story – Featuring Linda Ejiofor, Tope Tedela, Adesua Etomi, Daniel K Daniel". Pride Magazine Nigeria (kwa Kiingereza (Uingereza)). 2015-10-10. Iliwekwa mnamo 2020-08-27.
- ↑ "'76 the Movie - a story of love, honour and bullets'". Businessday NG (kwa American English). 2016-06-23. Iliwekwa mnamo 2020-08-27.
- ↑ Kenechukwu, Nwaezuoke (2016-11-20). "76: The Greatest Nigerian Movie Ever!". Medium (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2020-08-27.
Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Daniel K Daniel kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |