Daniel Yona

Daniel Yona (alizaliwa 3 Mei 1941) ni mwanasiasa nchini Tanzania na mwanachama wa CCM na alikuwa Mbunge wa jimbo la Same Mashariki.[1]

MarejeoEdit

  1. Member of Parliament CV. Parliament of Tanzania (2010). Jalada kutoka ya awali juu ya 2 January 2014. Iliwekwa mnamo 2 January 2014.