3 Mei
tarehe
Apr - Mei - Jun | ||||||
1 | 2 | 3 | 4 | 5 | 6 | 7 |
8 | 9 | 10 | 11 | 12 | 13 | 14 |
15 | 16 | 17 | 18 | 19 | 20 | 21 |
22 | 23 | 24 | 25 | 26 | 27 | 28 |
29 | 30 | 31 | ||||
Kalenda ya Gregori |
Tarehe 3 Mei ni siku ya 123 ya mwaka (ya 124 katika miaka mirefu). Mpaka uishe zinabaki siku 242.
Matukio
hariri- 1491 - Mfalme wa Kongo Nkuwu Nzinga anabatizwa na wamisionari Wareno na kuitwa Yohane I
Waliozaliwa
hariri- 1469 - Niccolo Machiavelli, mwanafalsafa kutoka Italia
- 1892 - George Thomson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1937
- 1902 - Alfred Kastler, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1966
- 1913 - William Inge, mwandishi Mmarekani, na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer mwaka wa 1954
- 1933 - Steven Weinberg, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1979
- 1960 - May Ayim, mwandishi Mwafrika kutoka Ujerumani
Waliofariki
hariri- 1481 - Mehmed II, Sultani wa Milki ya Osmani
- 1758 - Papa Benedikt XIV
- 1856 - Adolphe Adam, mtunzi wa muziki Mfaransa
Sikukuu
haririWakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha sikukuu ya watakatifu Filipo na Yakobo Mdogo, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Timotheo Msomaji na Maura, Evensi na wenzake, Jovenale wa Narni, Konlaedo, Petro wa Argo, Ansfridi, Theodosi wa Kiev, Stanislaus Kazimierczyk n.k.
Viungo vya nje
hariri- BBC: On This Day
- On this day in Canada Archived 2012-12-08 at Archive.today
Makala hii kuhusu mambo ya kihistoria bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu 3 Mei kama enzi zake au matokeo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |