Daniela Dahn (alizaliwa Berlin, 9 Oktoba 1949) ni mwandishi, mwanahabari na mwandishi wa insha wa Ujerumani. Tangu kuungana tena kwa Ujerumani mwaka 1990, Dahn amekuwa mkosoaji mkubwa wa mchakato wa kuungana tena.[1] Mtindo wake wa uandishi wa binafsi sana,[2] na maoni yake makali ya kisiasa, yameleta mtafaruku ndani ya Ujerumani, lakini Dahn, ambaye alijiona kuwa mpinzani ndani ya Ujerumani Mashariki kabla ya mwaka 1989, anashawishi waandishi wa habari waangalie kwa makini na kuendelea na utamaduni wa kidemokrasia wa kupinga serikali na sera za Ujerumani iliyounganishwa.[1]

Daniela Dahn mwaka 2012


Marejeo

hariri
  1. 1.0 1.1 Rado Pribić, The trouble with German unification: essays on Daniela Dahn, NoRa-Novitäten & Raritäten, 2008,
  2. Daniela Dahn, “Conformists like me.” New German Critique. Winter91, Issue 52: 50-60.
  Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Daniela Dahn kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.