Berlin
mji mkuu wa Ujerumani
Berlin ni mji mkuu, pia mji mkubwa na jimbo la kujitawala la Ujerumani ikiwa na wakazi 3.8 millioni. Berlin iko mashariki ya Ujerumani, palipo mto unaoitwa Spree.
Berlin | |||
| |||
Mahali pa mji wa Berlin katika Ujerumani |
|||
Majiranukta: 52°30′2″N 13°23′56″E / 52.50056°N 13.39889°E | |||
Nchi | Ujerumani | ||
---|---|---|---|
Jimbo | Berlin | ||
Idadi ya wakazi | |||
- Wakazi kwa ujumla | 3,419,623 (2,013) | ||
Tovuti: www.berlin.de |
Berlin ilianza kukua kama mji mkuu wa Prussia. Ilikuwa mji mkuu wa Ujerumani tangu kuundwa kwa Dola la Ujerumani mwaka 1871. Kati ya 1949 na 1991 ilikuwa mji mkuu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kijerumani. Tangu maungano ya Ujerumani Berlin imekuwa mji mkuu wa Ujerumani yote.
Kati ya 1961 na 1989 mji ilitengwa kwa ukuta kati ya sehemu za mashariki na magharibi.
Viungo vya njeEdit
- (Kiingereza) Tovuti rasmi Archived 9 Julai 2010 at the Wayback Machine.
Makala hii kuhusu maeneo ya Ujerumani bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Berlin kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |
Baden-Württemberg • Bavaria (Bayern) • Berlin • Brandenburg • Bremen • Hamburg • Hesse (Hessen) • Mecklenburg-Pomerini Magharibi (Mecklenburg-Vorpommern) • Saksonia Chini (Niedersachsen) • Rhine Kaskazini-Westfalia (Nordrhein-Westfalen) • Rhine-Palatino (Rheinland-Pfalz) • Saar (Saarland) • Saksonia (Sachsen) • Saksonia-Anhalt (Sachsen-Anhalt) • Schleswig-Holstein • Thuringia (Thüringen) |