Danijel Furtula (alizaliwa Julai 31 1992 huko Mojkovac) ni mrusha kisahani wa Montenegro ambaye alishindana kwenye olimpiki ya majira ya joto 2012 akiwa wa 20 kwenye kundi la vigezo namba 2 na hakuendelea mbele.[1] Alishinda dhahabu katika  kombe la Ulaya ya kurusha visahani la majira ya baridi kwenye kipengele cha chini ya miaka 23.[2]

Marejeo hariri

  1. Wales, BBC Radio (2014-03-29), Radio Wales Sport, BBC Radio Wales, OCLC 1118217062, iliwekwa mnamo 2021-10-11 
  2. "Introduction: from original/copy to original copy", Hyperreality and Global Culture (Routledge), 2012-10-12: 13–15, iliwekwa mnamo 2021-10-11