Dannebrog

Dannebrog (zamani pia huandikwa Danebrog) ni jina la bendera ya Denmark lililopatikana tangu zamani za mfalme Valdemar katika karne ya 13 BK. Ni bendera ya kale ya kitaifa duniani inayoendelea kutumiwa bila mabadiliko hadi leo.

Bendera ya Danebrog

Danebrog imekuwa kielelezo ya bendera zote za nchi za Skandinavia.