Daraja la Kisiwa cha Msumbiji

Daraja la Kisiwa cha Msumbiji ni daraja yenye urefu wa kilomita 3.8 linalovuka Bahari ya Hindi nchini Msumbiji. Inaunganisha Kisiwa cha Msumbiji na bara la nchi hiyo.

Daraja la Kisiwa cha Msumbiji
Kiingereza: Mozambique Island Bridge
YabebaLeni 1
YavukaBahari ya Hindi
MahaliKisiwa cha Msumbiji
MsimamiziNational Road Administration
Vifaa vya ujenziSaruji
Urefumita 3,800
Anwani ya kijiografia15°02′40″S 40°42′33″E / 15.04444°S 40.70917°E / -15.04444; 40.70917
Daraja la Kisiwa cha Msumbiji is located in Msumbiji
Daraja la Kisiwa cha Msumbiji