David Denis (mjasiriamali)

David Denis (alizaliwa mwaka 1998) ni kijana mjasiriamali nchini Tanzania aliyechaguliwa kuingia katika tuzo za vijana wajasiriamali za Anzisha Prize [1], tuzo ambazo ziliwakutanisha vijana wa Kiafrika kutoka katika nchi mbalimbali kama Tanzania, Madagaska, Ghana na baadhi ya nchi nyingine.

David ni mjasiriamali anayetumia ubunifu wa kubadilisha takataka kuwa katika matumizi mengine.

Marejeo hariri

  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-02-25. Iliwekwa mnamo 2022-02-25. 
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Denis (mjasiriamali) kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.