David Giguère ni mwimbaji na mtunzi wa nyimbo wa Kanada, na mwigizaji wa filamu, televisheni, na jukwaani. Anatokea Quebec.[1]

Marejeo

hariri
  1. Émilie Côté. "David Giguère: d'acteur à chanteur", 14 January 2012. Retrieved on 14 July 2014. (French) 
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu David Giguère kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.