David J. Wineland
David Jeffrey Wineland (amezaliwa 24 Februari, 1944) ni mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa amechunguza chembe za nuru na nadharia ya kwanta. Mwaka wa 2012, pamoja na Serge Haroche, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.
Makala hii kuhusu mshindi wa Tuzo ya Nobel bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu David J. Wineland kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |