David Wayne Spade (amezaliwa tar. 22 Julai 1964) ni mwigizaji wa filamu na mchekeshaji kutoka nchini Marekani.