Dawit Fikadu Admasu (alizaliwa 29 Disemba 1996) ni mkimbiaji wa mbio ndefu wa Bahrain.[1] Akiwa na asili ya Ethiopia, alipata uraia wa Bahraini mwaka 2017. Alishinda mbio za Saint Silvester Road mwaka 2014 na 2017 na mbio za Okpekpe Road mwaka 2019. Pia alishinda mbio za mita 10,000 kwenye Ubingwa wa Riadha Asia mwaka 2019.

Dawit in 2021 Islamic Solidarity Games

Marejeo

hariri
  1. "Dawit FIKADU | Profile | World Athletics". www.worldathletics.org. Iliwekwa mnamo 2021-10-02.
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dawit Fikadu kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.