De Beer wanamiliki migodi Botswana, Afrika Kusini, Angola, pia walikuwa wakimiliki mgodi wa Mwadui hapa Tanzania kwa sasa wamiliki ni petra wanaosadikiwa kuwa ni kampuni la De Beers.

Nembo ya De Beers
Jengo la Kampuni ya De Beers

De Beers ndilo kampuni la kwanza kwa utajiri afrika wakiwa wana zaidi ya dola milioni saba kwa mujibu wa record ya mwaka 2003. likiwa ni kampuni lenye kuzalisha na kuuza zaidi almas duniani kwa asilimia 40%, duniani likiwa ni kampuni lenye mafanikio zaidi kwa kushika nafasi ya 72 (2003) kwa utajiri duniani.

Mwanzilishi wa kampuni DE BEERS ni Cecile Rodes alikuwa ni kabulu kutoka uingereza miaka ya 1886. Mwanzilishi wa Mwadui mine Dk John Wiliamson ambaye alikuwa mtambuzi wa mawe(geologist) alibaini kuwepo kwa almas katika eneo hilo miaka ya 193. na kuanza kuchimba kwa kutumia vifaa haba mnamo miaka ya 194. Alifanikiwa kujenga mamia ya nyumba za wafanyakazi ambazo zipo hadi sasa lakini baadhi zilibomolewa na mameneja wa DE BEERS waliokuwa wakitawala kipindi cha miaka kadhaa iliyopita. Dr Williamson alifariki mwaka 1958 na kuzikwa Mwadui Mine,baada ya kifo chake serikali ilianza kuuendesha mgodi wa mwadui.

Tazama pia

hariri