1886
mwaka
Lango la Historia | Lango la Biografia | Karibuni | Orodha ya Miaka
◄ |
Karne ya 18 |
Karne ya 19
| Karne ya 20
| ►
◄ |
Miaka ya 1850 |
Miaka ya 1860 |
Miaka ya 1870 |
Miaka ya 1880
| Miaka ya 1890
| Miaka ya 1900
| Miaka ya 1910
| ►
◄◄ |
◄ |
1882 |
1883 |
1884 |
1885 |
1886
| 1887
| 1888
| 1889
| 1890
| ►
| ►►
Makala hii inahusu mwaka 1886 BK (Baada ya Kristo).
Matukio
hariri- 4 Oktoba - Kuundwa kwa mji wa Johannesburg
Waliozaliwa
haririKalenda ya Gregori | 2024 MMXXIV |
Kalenda ya Kiyahudi | 5784 – 5785 |
Ab urbe condita (Roma ya Kale) | 2777 |
Kalenda ya Ethiopia | 2016 – 2017 |
Kalenda ya Kiarmenia | 1473 ԹՎ ՌՆՀԳ |
Kalenda ya Kiislamu | 1446 – 1447 |
Kalenda ya Kiajemi | 1402 – 1403 |
Kalenda za Kihindu | |
- Vikram Samvat | 2079 – 2080 |
- Shaka Samvat | 1946 – 1947 |
- Kali Yuga | 5125 – 5126 |
Kalenda ya Kichina | 4720 – 4721 癸卯 – 甲辰 |
- 3 Januari - John Gould Fletcher, mwandishi na mshairi kutoka Marekani
- 2 Februari - William Rose Benét, mshairi kutoka Marekani
- 16 Februari - Van Wyck Brooks, mwanahistoria kutoka Marekani
- 8 Machi - Edward Kendall (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1950)
- 8 Aprili - Margaret Ayer Barnes, mwandishi kutoka Marekani
- 16 Mei – Douglas Southall Freeman (mwandishi wa Marekani na mshindi wa Tuzo ya Pulitzer, mwaka wa 1935)
- 19 Mei - Bernadotte Everly Schmitt, mwanahistoria kutoka Marekani
- 13 Septemba - Robert Robinson, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1947
- 26 Septemba - Archibald Vivian Hill (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba, mwaka wa 1922)
- 30 Oktoba - Zoë Akins, mwandishi kutoka Marekani
- 20 Novemba - Karl von Frisch (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1973)
- 3 Desemba - Karl Manne Siegbahn (mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia mwaka wa 1924)
Waliofariki
hariri- 16 Februari - Albert Küchler, mchoraji kutoka Denmark
- 3 Juni - Watakatifu Karolo Lwanga na wenzake: Luka Banabakintu, Yakobo Buzabaliawo, Gyavira Musoke, Ambrosi Kibuka, Anatoli Kiriggwajjo, Mukasa Kiriwawanvu, Achile Kiwanuka, Kizito, Adolfo Mukasa Ludigo, Mugagga Lubowa, Bruno Sserunkuma, Mbaga Tuzinde, Wakatoliki wafiadini wa Uganda, pamoja na wengine wa Anglikana
- 31 Julai - Franz Liszt, mtunzi na mpiga kinanda kutoka Hungaria
- 18 Novemba - Chester Arthur, Rais wa Marekani (1881-1885)
Wikimedia Commons ina media kuhusu: