Dede One Day

Muigizaji na mchekeshaji wa ki Nigeria

Dede One Day (Peter Onwuzurike Onyehidelam; alifariki 14 Desemba 2015) alikuwa mwigizaji wa vichekesho vya jukwaani wa Nigeria.[1]

Dede One Day
Amezaliwa Peter Onwuzurike Onyehidelam
jimbo la Imo
Amekufa Desemba 14 2015 (2015-12-14) (umri 9) Aba
Kazi yake Muigizaji, Vichekeso

Maisha

hariri

Dede One Day alikuwa na asili ya kabila la Wambieri lililopo jimbo la Imo. Alizaliwa na kukua katika mji wa Aba, Nigeria. Kipaji chake kilianza kung'ara katika filamu ya vichekesho ya Laugh With Me.[2][3]

Dede One Day alifariki muda mfupi baada ya kuanguka jukwaani wakati akifanya onyesho katika mji wa Aba mnamo tarehe 14 Desemba 2015.[4][5]

Filamu

hariri
  • Keke Soldiers
  • Iron Pant
  • Mortuary attendant
  • Corporate Beggars
  • My Class Mate
  • Professional Beggars
  • Village Musicians
  • Senior Officer
  • Joseph Oro Nro
  • Village lawyer
  • Shoe shiner

Marejeo

hariri
  1. Njoku, Benjamin. "Imo AGN holds candle night for Dede-One-Day", Vanguard Newspaper, 13 February 2016. Retrieved on 25 April 2016. 
  2. "Brief Profile/Biography/History Of Nollywood Comic Star Peter Onwuzurike known as "Dede one day"", Daily Mail Nigeria, 14 December 2016. Retrieved on 25 April 2016. Archived from the original on 2016-04-19. 
  3. Peace, Okechukwu. "Dede One Day: How Nollywood Actor Collapsed On Stage And Died Hours Later", Entertainment Express, 15 December 2016. Retrieved on 25 April 2016. 
  4. Godwin, Ameh Comrade. "Nollywood actor, Dede One Day to be buried February 13", Daily Post, 5 January 2016. Retrieved on 25 April 2016. 
  5. Egbo, Vwovwe. "Ded One Day:Popular comic actor reported dead after performance at event", Pulse Nigeria, 14 December 2015. Retrieved on 25 April 2016. Archived from the original on 2017-07-11. 
  Makala hii kuhusu mwigizaji filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Dede One Day kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.