Dehradun
Dehradun ni jina la mji mkuu wa jimbo la Uttarakhand katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao 450,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 657 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Jiji la Dehradun | |
Lua error in Module:Location_map at line 388: The value "<strong class="error">Expression error: Unexpected / operator.</strong>" provided for longitude is not valid.Mahali pa mji wa Dehradun katika Uhindi |
|
Majiranukta: 30°19′N 78°3′E / 30.317°N 78.05°E | |
Nchi | Uhindi |
---|---|
Jimbo | Uttarakhand |
Wilaya | Dehradun |
Idadi ya wakazi | |
- | 447,808 |
Tovuti: dehradun.nic.in |
Viungo vya njeEdit
- (Kiingereza) Tovuti rasmi
Makala hii kuhusu maeneo ya Uhindi bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Dehradun kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |