Dejana Stefanović
Mchezaji soko kutokea Serbia
Dejana Stefanović (alizaliwa 5 Julai 1997) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Serbia, ambaye anacheza kama mshambuliaji katika klabu ya Brighton & Hove Albion, inayoshiriki Ligi Kuu ya Wanawake ya Uingereza (WSL).[1] na timu ya taifa ya Serbia
Marejeo
hariri- ↑ "Dejana Stefanović". worldfootball.net (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-09-16.
Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Dejana Stefanović kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |